MISHE-BOY

tizama mpango rasmi wa kombe la Mataifa ya Afrika 2015

hii ndio mpangilio mzima wa kombe la Mataifa ya Afrika 2015 itakao dhuru nchini Morocco.
timu ya Burundi imepangwa kwenye raundi ya kwanza ya michuano ya mtowano na timu ya Botswana, tarehe 16 ao 18 Mei 2014.inabidi timu ya taifa Intamba Murugamba kujiandaa ipasavyo tena mapema kwajili mafanikio mazuri inaitaji mpango muzuri. listi ya wachezaji 19 wakimataifa wa Intamba murugamba wamekwisha itwa na inachobaki nikupanga siku ya mazowezi na wachezaji walio itwa wahanze mazowezi na wenzao watakao itwa hapa nyumbani.

hii ndio Raundi ya kwanza ya michuano ya mtowano

Raundi ya kwanza ya awali (16-18 Mei 2014)
  
Liberia-Lesotho
Kenya-Comores
Madagascar-Ouganda
Mauritanie-Guinée équatoriale
Namibie-Congo-Brazzaville
Libye-Rwanda
Burundi-Botswana
République centrafricaine-Guinée-Bissau
Swaziland-Sierra Leone
Gambie-Seychelles
Sao Tomé-Bénin
Malawi-Tchad
Tanzanie-Zimbabwe
Mozambique-Soudan du Sud 

tuwafahamishe kuwa Timu kumi na nne (14 pays qualifiés ) zitachuana  kwenye raundi ya pili.

hii ndio raundi ya pili ya mtowano (awali: Julai 18-20; marudio  :1-3 Agosti )

  1. Mshindi Lesotho Liberia                       vs         Mshindi Kenya-Comoro
  2. Mshindi Madagascar-Uganda               vs         Mshindi Mauritania-Equatorial Guinea
  3.
Mshindi Congo Namibia                       vs         Mshindi Libya-Rwanda
  4. Mshindi Burundi-Botswana                   vs         Mshindi Guinea Bissau-
Centrafrique
  5. Mshindi Swaziland-Sierra Leone           vs         Mshindi Gambia-Shelisheli
  6. Mshindi Sao Tome na PrincipeBenin      vs        Mshindi Malawi na Chad
  7.Mshindi Tanzania Zimbabwe                   vs       Mshindi Msumbiji na  Sudan ya
Kusini


 Hatua ya makundi itapangwa ipasavyo(Phase de groupes) tarehe : Septemba 05-06, 10 Septemba, 10-11 Oktoba, 15 octobre, 14-15 NovembreNovemba 19.

Kundi A: Nigeria, mshindi wa 3, Sudan, Afrika Kusini

kundi B: Mali,mshindi wa 6, Ethiopia, Algeria

kundi C: Burkina Faso,mshindi wa 1, Gabon, Angola

kundi D: Ivory Coast, mshindi wa 5, DRC, Cameroon

kundi E: Ghana  mshindi wa 2, Guinea, Togo

kundi F: Zambia, mshindi wa 7, Niger, Cape Verde

kundi G: Tunisia, mshindi wa 4, Senegal, Misri
 

timu mbili tu za kwanza kila kundi na tatu bora ya mtoano hatua hii itakuwa na bahati kubwa ya kushiriki katika  CAN 2015, uliopangwa kufanyika tarehe Januari 17 mpaka  Februari 8, mwaka  wa 2015  nchini Morocco.

 hapo utakuja kuona kundi mbili ngumu (Deux groupes "de la mort"), yaani D na G, kwenye kundi D : Cameroon  ya Samuel Eto'o hukutana na  Ivory Coast ya Yaya Toure na DRC  ya Youssouf Mulumbu.
kwenye kundi ya pili G,  Pharaohs ya Misri, wakati matoleo mawili ya ushindani bara timu hii ya Misri ayipo, itakutana na simba wa Teranga (Senegal) na Eagles de Carthage (Tunisia).
endapo Burundi ikifaulu kupita itajikuta kwenye kundi G. kila la kheri kwa timu ya Taifa ya Intamba Murugamba.
 

Hakuna maoni