MISHE-BOY

ebu tizama orodha ya wachewaji wa Brezilia na Al

 kwenye listi ya Brazilia utakuja kuona ukosefu wa wachezaji wa wili ambao wamewahi kufanya vizuri sana kwenye ulimwengu wa michezo na kwasasa wanazidi kuonesha kipaji chao atakama awapo kwenye stamina yao, hapa tunawazungumzia wachezaji kama Ronaldinho gaucho na Kaka.
kocha wa Brazilia Scolaria ''Felipao'', akubadili sana kikosi chake na kile kikosi ambacho kimechukuwa kombe la shirikisho 2013 dhidi ya Ispania (3-0). kwa upande wa kati amejaza wachezaji wazuri na ukitizama mtindo wa sasa ukiwa nawachezaji wazuri wa kiungo, basi timu yako itakua imara sana, ndio sababu ameita mchezaji Fernandinho na Hernanes, tukumbuke kuwa kocha Scolari anapenda sana wachezaji chipukizi kuliko wachezaji kongwa. Mwaka wa 2002 amemuweka kando Romario na kwa sasa amewatema vigogo na akiwemo Robinho, Ronaldinho ( alipata mpira wa zahabu 2005) na Kaka (aliweza kupata mpira wa zahabu 2007). ukitaka kumuchokaza Scolari, basi uwaseme vibaya awa wachezaji wa nne kwake yeye ni vitegemeo : Thiago Silva, David Luiz, Julio Cesar na Fred,
 Hii hapa orodha kanuni ya wachezaji 23 wa Selesao walio itwa na kocha Scolari :
wa Golikipa : Jefferson (Botafogo), Julio Cesar (Toronto/MLS), Victor (Atletico Mineiro)
ma Beki : Dani Alves (FC Barcelone/ESP),  Maicon (AS Rome/ITA), Marcelo (Real Madrid/ESP), Maxwell (Paris SG/FRA),
Thiago Silva (Paris SG/FRA);  David Luiz (Chelsea/ENG), Dante (Bayern Munich/GER), Henrique (Naples/ITA), 
 Wa kiungo : Oscar (Chelsea/ENG), Paulinho (Tottenham/ENG), Fernandinho (Manchester City/ENG), Luiz Gustavo (Wolfsburg/GER),Willian (Chelsea/ENG); Hernanes (Inter Milan/ITA),  , Ramires (Chelsea/ENG),
 Washambulizi : Neymar (FC Barcelone/ESP), Fred (Fluminense),Hulk (Zenit Saint-Pétersbourg/RUS), Jô (Atletico Mineiro), Bernard (Shakhtar Donetsk/UKR).


hii ndio orodho ya wachezaji 30 ya Allemagne imeitwa na kocha  Joachim Löw :
wa Golikipa : Manuel Neuer (Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund), Ron-Robert Zieler (Hanovre)
Défenseurs : Jerome Boateng (Bayern Munich), Philipp Lahm (Bayern Munich), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Per Mertesacker (Arsenal/ANG), Kevin Grosskreutz (Borussia Dortmund), Erik Durm (Borussia Dortmund), Benedikt Höwedes (Schalke 04), Marcell Jansen (Hambourg), Shkodran Mustafi (Sampdoria/ITA), Marcel Schmelzer (Borussia Dortmund).

wa Kiungo : Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich), Toni Kroos (Bayern Munich), Mario Götze (Bayern Munich), Mesut Özil (Arsenal/ANG), Julian Draxler (Schalke 04), Lars Bender (Bayer Leverkusen), Maximilian Meyer (Schalke 04), André Hahn (Augsbourg), Sami Khedira (Real Madrid/ESP), Thomas Müller (Bayern Munich), Leon Goretzka (Schalke 04), Matthias Ginter (Fribourg)

Wa Shambuliaji : Miroslav Klose (Lazio Rome/ITA), Marco Reus (Borussia Dortmund), André Schürrle (Chelsea/ANG), Lukas Podolski (Arsenal/ANG), Kevin Volland (Hoffenheim)

Hakuna maoni