MISHE-BOY

hii ndio matokeo za mechi ya awali kwa kufuzu kombe ya kimataifa barani Afrika

baadhi ya Timu zimekwisha weka imani kubwa ya kufuza raundi ya kwanza kwa hii muzunguuko wa mtawano wakufuzu kombe ya kimataifa la Afrika Yaani Can2015 nchini Moroko.
tarehe 17/05/2014

Malawi-Tchad 2-0

Mauritanie-Guinée équatoriale 1-0

Namibie-Congo-Brazzaville 1-0

Sao Tomé-Bénin 0-2

tarehe 18/05/2015

Liberia-Lesotho 1-0

Kenya-Comores 1-0

• Madagascar-Ouganda 2-1

Libye-Rwanda 0-0

• Burundi-Botswana 0-0

• République centrafricaine-Guinée-Bissau 0-0

• Swaziland-Sierra Leone 1-1

• Tanzanie-Zimbabwe 1-0

• Mozambique-Soudan du Sud 5-0


mechi ya marudio ni baada ya wiki 2.

Hakuna maoni