MISHE-BOY

hawa ndio wasani tisa wa Bongo Tanzania wanao tabia mbaya kuliko wengine

kwa uchambuzi mkubwa wa ripota wetu wakaribu wa Tanzania ametuakikishia na kutupa orodha kamili ya wwasanii kumi wa bongo wanao tabia mbaya.
1. Chidy Benz nni Msanii anapenda kuimba Rap ya kufoka ki ivo ila anatabia mbaya ya kupiga mtu na usishangahe kusikia amepiga mtu na ngumi ndio maisha yake usishangahe anaingia jela na kutoka ni kwajili ya kupigana, ukimtizama vizuri eko na alama ya nondo uliyo upande wa kulia kwenye kichwa chake ndio utaamini kuwa ni ishara tosha ya misukosuko anayokumbana nazo.


2. T.I.D : upande wa  T.I.D ubaya wake ni kauli mbaya na dharau ni kama kawaida kwake, isitoshi maneno kama kuuma, museenge iko karibu sana na mdomo wa T.I.D.

3.  Lord Eyes : huu hapa ni hatare sana yaani yeye ni mambo ya unga unga na wizi kila mara na ni umarufu tu ndio unao muokowa watu wanashinda kumutendea vibaya kwasababu wanamfaham. amekwisha mufanyia unyama Ommy Dimpoz ila amemupotezea tu kwasababu anamfaham.
4.  Dully Skyes : Dully matusi kwake ni kawaida na dharau kidogo hasa za mdomoni na pia ukiwa unaongea naye  kua makini maana anaweza akaongea neno baya. kunasiku  redioni bila shaka aliwai kumtongoza Mtangazaji hewani na kumtukana suddy brown hewani lakini anaelewa mbio baada ya kutenda mabaya kwani baadae aliomba radhi.
5. Hemed : kazi yake ya awali ni amekuwa tusker project fame na ameacha mambo mabaya sana na ubaya wake ni mtu asiefikiria kabla ya kuzungumza anaweza kukujibu jibu lolote bila kutambua kama yeye ni star. na hana uvumilivu wa kiutu uzima hana mropokaji mzuri sana.
6. Afande Sele : bwana mkubwa kila mtu amengombana naye ni story ipo kwenye kona ya mitaa yote. kwa kweli ni mtu wa busara kimdomo ila ukisikia amefanya kitu auwezi kuamini mpaka uakikishe kwa macho. amewahi kuua kutishia kuuwa mtu na amewahi kuvua nguo jukwaani na kazalika. 
7. Matonya : bwana mdogo Matonya mara nyingi tena awamuamini tena bongo yaani anatabia mbaya ya utapeli tu ndio tatizo lake yaani ukimupa pesa ya show kuwa naye makini
8. Mh. Temba : mheshimiwa  Temba  ukiwa unapenda miziki zake usiwe unazisikiliza ukiwa na mtu mzima pembeni maana utaaibika tu matusi ni moja ya vitu anavyopenda kuvitamka na haonyeshi dalili ya kubadilika kila siku.
9.  Dudu Baya : Huyu jamaa yeye ni ngumi mkononi,  ukimzingua kidogo anakuharibu na pia anapenda shari ya makundi.

wiki ijao tutawapa wasani kumi wenye tabia mbaya wa hapa nchini urundi kama unawajua ebu taja umoja ao wa 2 na tabia yao mbaya.
tupo kwajili ya kuelemishana ili tuacha tabia mbaya.

hii pcha hapa inakuzungumuziaje na hali halisi ya sasa?  
 

Hakuna maoni