MISHE-BOY

matokeo ya Ligi kuu ya primus Ligi, habari mbalimbali ya michezo

kwa habari kutoka Ufaransa, ni kwamba kocha wa Paris Saint Germain, Laurent Blanc, inawezekana akasaini mkataba mwwingine na klabu yake ya PSG, kwa musimu ujao.
mchezaji hatari sana wa Real madrid, Christiano Ronaldo, kwa mjibu wa habari ya klabu ya Real Madrid wamethibitisha kwamba mchezaji wao atakuepo kwenye mechi ya awali kwenye ligi ya mabingwa dhidi ya Bayern Munich, baada ya kufanya mazowezi na klabu yake vizuri. na kwasasa yupo sawa na anaweza kuchangia mchango mkubwa sana kwenye mechi iyo ya awali.

klabu ya Manchester United iko mbioni kwa kumsajili mchezaji wa klabu ya PSG ya Ufaransa, Cavani, na klabu vigogo ziko kwenye orodha yakumusajili kama Chesea na Manchester City, na Manchester United ndio klabu imekwisha tiya pesa kwenye meza kitita cha milioni 50£.
 klabu ya Barcelona, kabla ya kupata na shida ya undani na nje, ivi iko mbioni kwa kutafuta kocha mpya ambae atakuja kumurudilia Gerado Martino ambae anaoneshwa mulango wakuihama klabu ya barcelona kwa ubovu wa matokeo ivi karibuni. na kocha ambae mashabiki walipiga kura na kumuchagua Jürgen Klopp kwakupata kura nyingi na akifatana na kocha wa zamani Pep Guardiola. ila kwa kauli yake Jürgen Klop, amekanusha iyo habari ya kuihama klabu yake ya Dortmund uku akisema kwamba bado mapema sana kubadili klabu. klabu ya barcelona imeanza mazungumzo na kocha Louis van Gaal mwenye umri wa miaka 62 na klabu ya Uingereza Tottenham inamtafuta.

Evra na Suarez walikua awaelewani ata kidogo kwa siku chache za nyuma ila kwa sasa Patrice Evra ndiye anae muteteya Suarez kwenye klabu yake ya Manchester United ili aje kujiunga na klabu ya Man U. mwaka ujao. ni jambo ya kushangaza wakati viongozi waliomba kura ya Evra ya kuchagua mchezaji gani ambae anapenda wasajili mwaka ujao, bila kusita amesema Suarez na kuonesha umuhimu wa mchezaji mwenzie wa Liverpool ambae ni mfungaji bora wa ligi kuu ya Uingereza.
ebu tizama picha izi wakati walikua kwenye bifu kubwa sana na ikamupelekea Suarez kufungiwa mechi 9.
kwasasa ni marafiki wa sana
 na klabu mbili babe za Uingereza, Manchester United na Manchester City, zinamugombania mchezaji wa Barcelona Pedro, na upande zote mbili ziko tayari ya kuweka kitita cha milioni 25 endapo klabu ya Barcelona itakua mbioni kumuachilia mchezaji wao Pedro.
ligi kuu ya hapa nchini Burundi Primus League, inazidi kuendelea na kuweka mabadiliko sana, kwanza ya klabu vigogo kama vital'o, Atletico, Inter star, zinazidi kupoteza pointi kiulaini na kujikuta kwenye na fasi mbovu sana kwenye msimamo wa ligi kuu.

                                                            matokeo ya 19-04-2014
ATHLETICO 0 : 1 FLAMBEAU
VOLONTAIRES 1 : 1 ROYAL
ESPOIR 1 : 2 GUEPIERS
VITAL’O 1 : 0 TCHITE
INTER 4 : 0 FLAMENGO



   orodha ya mda




J G N P GD Pts
1 FLAMBEAU 15 10 3 2 21 33
2 LLB 16 9 6 1 18 33
3 GUEPIERS 17 9 5 3 16 32
4 INTER 17 8 6 3 24 30
5 VITAL’O 18 9 3 6 8 30
6 PRINCE LOUIS 16 6 8 2 5 26
7 MESSAGER 14 7 4 3 8 25
8 ATHLETICO 17 7 4 6 0 25
9 ROYAL 18 6 5 7 -4 23
10 TCHITE 18 5 6 7 -3 21
11 MUZINGA 17 4 5 8 -7 17
12 VOLONTAIRES 17 2 5 10 -33 11
13 FLAMENGO 18 1 3 14 -36 6
14 ESPOIR 16 0 5 11 -17 5

mpanglio wa  22-04-2014
TCHITE - VOLONTAIRES
INTER - ESPOIR

GUEPIERS - MUZINGA
ROYAL - ATHLETICO
MESSAGER - PRINCE LOUIS

Hakuna maoni