MISHE-BOY

ulimwengu wa michezo

Mchezaji wa LiverPool, Steven Gerrard kwa sasa ana umri wa 33 ila bado angali mchezaji wa kiungo kitegemeo kwenye klabu yake ya Liverpool na kwenye timu ya Taifa ya UIngereza. Ata hivo kiungo huu muingereza ajawahi kushinda Ligi kuu ya Uingereza (Premier League).  katika mechi nne iliyobaki baada ya kupata ushindi kwa tabu sana dhidi ya Manchester City (3-2), klabu ya Liverpool inaweza kutawaziwa ubingwa pamoja na imani na ndoto pia ya nahodha wa klabu iyo Steven Gerrard.
amesikika nakusema kwamba "Katika miaka ya hivi karibuni , kumekuwa na heka heka. minafurahia kila dakika Najisikia  kama nilivyo kuwa na umri wa miaka 21 tena kucheza kando yao.hii pengine ni mwaka mzuri kwangu na kwa kazi yangu, nitajituma kwa hali na mali".
ila kuna baki mechi nne ili tutambuwe mushindi ni nani kwenye Ligi kuu ya Uingereza mwaka huu ila kwa sasa Liverpol ndio inashika usukani kwa kuongoza kwenye msimamo wa ligii kuu.


Marco Fassone alithibitisha Jumatatu hii juu ya Mchezaji Fernando,amezungumzia  maslahi ya kumumiliki  Fernando Torres kwenye  klabu ya Inter Milan na  Obi Mikel ni pia katika yupo kwenye orodha ya kujiunga na Inter Milan mwaka ujao. tukumbyke kuwa mshambuliaji hatari wa zamani wa Liverpool Torres amekwisha funga magoli saba tu katika mashindano yote msimu huu. klabu ya Inter Milan iko na bahati kubwa ya kumpata mshambuliaji Torres ambae ategemewi sana na kocha wake wa Chelsea, José Mourinho.

baada ya kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa na dhidi ya Klabu ya Atletico Madrid, klabu ya Barcelona imedondosha tena pointi tatu kwenye ligi kuu ya Ispania dhidi ya klabu ndogo Granada, ivi karibuni Kocha wa Barcelona Gerado Martino Tata, ameanza kuambiliwa maneno ya kufukuzwa msimu ujao na kocha ambae anaye pewa au kutajwa na viongozi wa Barcelona ni kocha wa Dortmund ya Ureno, Jürgen Klopp.
 mchezaji hatari sana dunia wa Barcelona, Lionel Messi , ivi nchini Ispania amekerwa sana na kusemwa na viombo vya habari na mashabiki wa klabu iyo kwamba mechi mbili dhidi ya Atletico Madrid na Grenada akujituma kama ipasavyo. ila Mchezaji wazamani tena kocha, Johan Cruyff, amemuteteya na kusema kwamba viongozi na mashabiki wa Barcelona wasi lalamike na kumusema vibaya Messi kwajili ya Mechi mbili uku wakisahau mechi ya Classico ambao yeye ndiye amekuwa nyota na kila mipira imekua inapitia kwake na dhidi ya Atletico Madrid amecheza ila Mungu amepanga iwe ivo sio mda wakumusema vibaya ila ni mda wakujiongoza kwamaana viongozi wa Klabu awafanyi kazi ipasavyo.
baada ya klabu ya Barcelona kuziwiliwa kutosajili msimu miwili ifwatayo, inapelekewe klabu zingene kufungiwa, habari hii aijathibitishwa na UEFA, lakini inaweza kuwa kwamba PSG na Manchester City ipigwe marufuku kusajili kwa msimu ujao. inasemekana wamevunja sheria ya kusajili wachezaji ambao wako na miaka mi dogo sana kinyume na sheria.

mechi ya kesho ya Fainali ya kombe ya mfalme wa Ispania (cup de Rey) kati ya Real Madrid dhidi ya Barcelona, ndio kombe inayo baki kwa klabu ya Barcelona kubeba bila ivo wataambulia zero mwaka huu kwamaana imani ya kuchukuwa kombe ya la liga ni ndogo sana.
 

Hakuna maoni