MISHE-BOY

DAIMOND PLATNUMZ '' vdeo yake mpya mwaka huu nchini Uingereza

Msani wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Daimond Platnumz anazidi kuwa ni mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na ya kazi yake kwa kujihimarisha na kujitangaza kwenye soko la muziki.
baada ya kufanya collabo  na baadhi ya ya wasanii wa Nigeria kwenye alipo hivi sasa. ameweka wazi mpango wake wa kufanya video nyingine nchini Uingereza.
Daimond, Davido na Iyanya
hapa amesikika na kusema :
Daimond: nikitoka Nigeria InshaAllah nikirudi Tanzania nitaenda Uingereza ku shoot ngoma nyingine.
                kwa sababu nime plan mwaka huu kutowa nyimbo mbili ambayo ya kwanza itakuwa East African version na nyingine itakuwa kiafrika kwa sababu ukitaka utoe hit nzuri ya Afrika ao ya West na sehemu nyingine ni vigumu sana kupeleka ile kama tunavyoimba  nyumbani lazima kidogo ubadilike na ukibadilika unajua watanzania wanakuwa awakukubali hivyo so inabidi nifanye hivo.


 kwa hii ziara yake anawezakukutana na kufanya kazi pamoja na Davido, T-Pain na wengineo na show itasimamiwa na DMK Global ,J&P Entertaiment pamoja na Safari Entertaiment.na safa
na video atakayo ifanyiya Uingereza ni ya wimbo aliomshirikisha Iyanya.
tukumbuke kuwa wakati Daimond anaondoka Tanzania Kuelekea Nigeria alisema moja ya mambo atakavyo fanya huko ni pamoja na nakufanya video nyingine na itakuwa ni ya nyimbo alioimba mwenyewe japo hakutaja jina wala siku itakayotoka lakini nyimbo itatoka hivi karibuni.
 tuwafahamishe kuwa Daimond atakuwa msani wa pili wa Bongo kufanya video yake nchini Uingereza kwa mwaka huu endapo mipango itafanyika kama ilivyopangwa, ni baada ya Ommy Dimpoz ambae ame shoot nchini Uingereza ivi karibuni.

Hakuna maoni