MISHE-BOY

Hii ndio listi ya wachezaji wa Intamba Murugamba wenye miaka chini ya 20

hii ndio listi ya wachezaji wa Intamba Murugamba wenye miaka chini ya 20(Intamba Junior -20). ni mechi za mutowano kwa kugombania kufuzu kombe ya CAN barani Afrika. Timu ya taifa ya Burundi imepangwa kucheza na Timu ya taifa ya Djibouti hapo ijumaa tarehe 4/04/2014, watawasili hapo kesho nchini Djiboutie.
baada ya kufanya vizuri kwenye muchezo wa kujipima nguvu yaani ya kirafiki dhidi ya Rwanda na kupata ushindi wa bao moja bila kwa ushindi wa vijana wa Burundi.
hii hapa listi ya ambao watakao akilisha nchin ya Burundi kwenye kombe ya Can 2015.


1. NDAYISHIMIYE Hussein / Messager Bujumbura
2. NININAHAZWE Bienvenue / Messager Ngozi
3. BAYIZERE         Olivier / Messager Ngozi
4. BIGIRIMANA Issa / Lydia Ludic Burundi Academie
5. BIZIMANA Hassan / Inter star
6. HAkizimana Alexis / Athletico Olympic
7. MPAWENAYO kevin- Raoul / Athletico Olympic
8. MUBANGO Tresor / Athletico Olympic
9. MUHUZA Patient / Royal Fc
10. MOUSSA Omar / Flambeau de l'Est
11. MVUYEKURE Emmanuel / Lydia Ludic Burundi Academic
12. NDAYIZERE Vovo Selemani / Vital'o Fc
13. NININAHAZWE Fabrice / Lydia Ludic Burundi academic
14. NIYONKURU Nassor / Athletico Olympic
15. NSHIMIRIMANA David / Flambeau de l'Est
16. SABUMUKAMA Enock / Messager Ngozi
17. UWAYEZU Nice-Francky / Messager Bujumbura
18. IDRISSA Ramadhan / Messager Bujumbura
Coach : RAINER Wilfried
           : Massoudi IRAMBONA
 kocha wa magolikipa: AMIDOU Hassan

 kura kwajili ya muzunguko wa nane wa fainali ya Kombe la Orange CAF, imefanyika asubuhi hii nchini  Cairo, imesababisha  mechi yafuatayo:

Al-Ahly (EGY) vs Difaâ El Jadida (MAR)

AS Réal Bamako (MLI) vs Djoliba AC (MAL)

Etoile du Sahel (TUN) vs Horoya AC (GUI)

Coton Sport (CAM) vs  Petro de Luanda (ANG)

AC Léopards (CGO) vs  Medeama (GHA)

Séwé Sport (CIV) vs  Bayelsa United (NIG)

CA Bizertin (TUN) vs Nkana FC (ZAM)

ASEC Mimosas (CIV) vs Kaizer Chiefs (AFS)

Hakuna maoni