MISHE-BOY

orodha kamili ya timu waliohitimu katikati ligi ya mabingwa Orange 2014

 habari njema ni ya Mchezaji NDIKUMANA Selemani (Sele Drogba)mwenye asili ya Burundi na akiwa mshambuliaji kitegemeo waa timu ya taifa Intamba (Burundi), leo hii amesikika kwenye radio Rema Fm nakusema kwamba amefanikiwa kuanzia leo kuitwa Baba, mke wake wa ndoa amejifungua Mtoto wa kiume ambae amesema jina lake ni Suleimani Junior.ongera sana baba Suleimani Junior.

kwa sasa tume kwisha tambuwa klabu zilizo fuzu hatua ya nane  ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Orange mwaka 2014.kutowa tu klabu kubwa za DR Congo, zengine ni klabu kutoka kaskazini ya bara la Afrika, ambayo inathibitisha utawala wa hii hatua ya nane ya Ligi ya Mabingwa Orange2014.


hii ndio orodha ya waliotimu
  • TP Mazembe (RDC)
  • AS Vita Club (RDC)
  • CS Sfaxien (TUN)
  • ES Tunis (TUN)
  • Ahli Benghazi (LBY)
  • ES Sétif (ALG)
  • Zamalek (EGY)
  • El Hilal (SOU)


Kuhusu kombe la shirikisho Orange 2014, timu 16 zimecheza michezo ya kutowana na kubaki timu 8 zitakazo fuzu, na hizo timu nane zilizo fuzu kwenye kombe ya shirikisho, zitachuana na timu nane zilizo ondolewa kwenye kombe ya Ligi ya Mabingwa Orange. Dro ao mupangilio wa duru hii ya pili utafanyika Aprili 1 katika makao makuu ya CAF, Cairo nchini Misri.
hii ndio orodha ya waliohitimu kwenye Kombe ya Shirikisho
  • Etoile du Sahel (TUN)
  • CA Bizertin (TUN)
  • Difaâ El Jadida (MAR)
  • Medeama (GHA)
  • Bayelsa United (NIG)
  • ASEC Mimosas (CIV)
  • Petro de Luanda (ANG)
  • Djoliba AC (MAL)
 hii ndio orodha ya walio ondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Orange na watachuana na waliohitimu kwenye Kombe ya Shirikisho
  • Séwé Sport (CIV)
  • Kaizer Chiefs (AFS)
  • Horoya AC (GUI)
  • Al-Ahly (EGY)
  • Coton Sport (CAM)
  • AS Réal Bamako (MLI)
  • AC Léopards (CGO)
  • Nkana FC (ZAM)

Hakuna maoni