MISHE-BOY

Djibouti 1-1Burundi (U20), Uzalendo wa Mchezaji Jeff Nzokira

timu ya taifa ya Intamba Murugamba Junior yenye wachezaji wa Miaka chini ya 20, imecheza mechi yao leo tarehe 04/04/2014 dhidi ya Djibouti na kupata fursa nzuri ya kugawa 1-1 kwenye mechi ya awali na mechi ya marudio inapangwa tarehe 26 mwezi huu na mwaka huu.
vijana wetu wamewahi kucheza mechi ya kirafiki kabla ya mechi dhidi na timu ya taifa ya Rwanda na kuibuka washindi wa bao moja bila.
walio tangulia kucheza ni hawa hapa:
18 Ndayishimiye Hussein  © , 2 Uwayezu Nice-Francky , 14  Bigirimana Issa , 3 Moussa Omar , 6 Nshimirimana David , 8 Ndayizeye Vovo-Selemani  , 13 Mubango Tresor , 10 Mvuyekure Emmanuel Manou , 12 Hakizimana Alexis , 19 Nininahazwe Fabrice  , 9 Bizimana Hassan .
 walio kuwa nje kwenye akiba sio mbaya ni :
Nininahazwe Bienvenu  1 , Sabumukama Enock 4 , Niyonkuru Nassor  5  , Bayizere Olivier 7 , Idrissa Ramadhan 11 , Mpawenayo Kevin-Raoul 16 , Muhuza Patient  Zokora 20 .
walipo fika Djibouti ili kucheza mechi ya kungombania tiketi ya kushiriki kombe la CAN Africa 2015 ya vijana wenye umri ya miaka chini ya 20.
walipo fika djibouti wamepokelewa na mashabiki warundi wanao ishi uko na ikawapa nguvu nakujiisi kama wapo nyumbani. ila kuna mchezaji moja inabidi aweze kupewa pongezi sana ni Nzokira Jeff aliye kuwa goli kipa wa zamani ya vital'o na pia mchezaji wa timu ya taifa ya Burundi kwa sasa anacheza mpira wakulipwa nchini Djibouti na klabu yake ndio inayo ongoza kwenye msimamo wa ligi kuu ya Dijouti. amekuwepo kwenye uwanja wa ndege na aka ambatana nao mpaka hotelini uku akiwapa moyo na nguvu yakutokua na hofu wa dogo zake na mchango wake kwenye mazowezi alikua akosi na akawaleteye maji kwenye mazowezi wa dogo zake ambao ni vijana wachezaji walio wakilisha nchi ya burundi nchini Djibouti. vijana wamefurahi sana kwa upendo wake mkubwa pale ambapo amewaletea maji mazowezini na wakamuhahidi awawezi kuamuzaririsha na watapa ushindi ao kupata endawapo pointi moja.
Jeff, akisubiria Intamba kwenye uwanja wa ndege
 ebu cheki picha gisi mchezaji Njokira Jeff alivyo kuwa karibu sana na wachezaji wa timu ya taifa junior kambini na mazowezini
  kwa kweli timu ya taifa na viongozi wamefurahia stamina ya timu ya kuweza kupata pointi kwenye mazingira magumu sana 
mechi ya marudio ni hapo tarehe 26/04/2014, kwenye uwanja wa Prince Louis Rwagasore mjini Bujumbura.

Hakuna maoni