MISHE-BOY

tizama picha za Fally ipupa akiwa na Wachezaji wa Barcelona

msani wa DRC Congo, ambae anajulikana kwa ma milioni za watu pande zote za dunia ni Fally Iputa,
amebaini kuwa nimshabiki sana wa klabu ya Ungereza Manchester city na kila Mara nyingi akiwa na wakati uwa anajielekeza Ungereza kwenda kushuhudia tu Mechi ya Man City. na hapo jana amekuwepo kuhudhuria pambano ilio shabikiwa na wengi sana duniani,kati ya Barcelona kutaka Ispania dhidi ya Manchester City ya Ungereza. sio kitu raisi Msani wa Afrika kwenda kuona mechi Ulaya kwa kutembeya tu.
Messi                    Fally Ipupa                A. Song
Messi   & Fally Ipupa
Puyol   &  Fally Ipupa
mahali pachakula ndogo
fally akiwa mezani akila na Wengine
Fally Ipupa & Neymar Jr.
Fally Ipupa & Song
Messi   Fally Ipupa & A. Song
Ajouter une légende
Yaya Touré & Fally Ipupa
Yaya Touré , Clishy  & Fally Ipupa
Viera & Fally Ipupa

Hakuna maoni