Unajua Msani Gaga Blue Kwenye Yupo?
Msani wa kizazi kipya Hakizimana Gael akijulikana kwa jina ya Gaga Blue, ambae kwa sasa ayupo hapa nchini Burundi, wengi wenu wanamtambuwa kwenye nyimbo ya buja fleva aliye imba na Sal-G.
ni nyimbo nyingi sana amekwisha towa kama Holla man ft Mkombozi, i hate girl, nkundira rmx, nitoke vipi, na nyimbo nyingi aliimba na wasani wengi wa hapa nchini kama Miss Eric, Franck (ex Mwanajeshi) na wengineo.
tulipo ongea naye kwenye facebook yake amenitufahamisha kuwa kwa sasa yupo Ouganda Kampala na akatufahamisha kwamba yupo safarini tu kumutizama mama yake Mzazi ambae anaishi kampala na wandugu zake.
na kuhusu kazi yake ya kimuziki tulipo muuliza amejibu akianza kucheka uku akisema eti ''niko najiandaa ki hutu nzima kabisa na ninawahidi mashabiki zangu kama nitarejeya soon na zawadi kama kuwaonesha kama ningali Gaga Blue ambae wanae penda kumusikia nitatowa video mpya pamoja na R. Flow''.
na habari nyingine mpya kabisa ametufahamisha kuwa anatarajia kutowa track mpya na Fizzo pamoja na Samatha endapo akirudi salama, kwamba mambo yote imekwisha kubalika inachobaki ni matokeo . Gaga Blue '' kwa kweli endapo track zangu mpya zikitoka ninaimana kubwa itakuja kufunika zaidi ya nyimbo ya Buja Fleva''.
mashabiki zake wanao mpenda sana kwa style yake anapo chana na sauti nzuri sana ya kuvutia mashabiki wake, kaheni mukisubiri kwa hamu nyimbo na video Mpya ya Gaga blue.
cheki picha gisi yupo anafurahi na wa ndugu zake nchini Ouganga

Post a Comment