baada ya chan 2014 wachezaji wa Burundi wapata soko inje
ni hapo tu siku chache baada ya kutolewa kwenye mashindano ya chan 2014 ilio dhuru barani Africa Ya Kusini,tuwafahamishe kama Burundi imekua katika kundi ngumu ila imeonesha uwezo mkubwa sana kwa mara yake ya kwanza na kutoka na fasi ya 3 na pointi 4 yaani wamepoteza mechi moja tu kwenye mechi 3
nduwarugira Christophe a.k.a LUCIO kwa kuonesha kipaji kikubwa chan na Cecafa amependezwa na timu kutoka Msumbiji (Mozambique) .ni musiku chache tu ataweza kujielekeza Mozambique ni klabu ya daraja ya kwanza jina ya klabu ni CHIBUTO.
kama kawaida yetu ya Afrika usajili aujulikanaga na auwekewagi wazi, atujuwi ni kiwango gani amesajiliwa mchezaji wakimataifa Lucio.
upande mwingine ni wa NDIKUMANA YAMIN SELEMANI ambaye amekwisha elewana na viongozi wa klabu kutoka Abania na Vital'o Fc na safari yake inapangwa kuondoka leo tarehe 01/02/2014 kuelekea Ugiriki ku ungana na kikosi cha timu yake kisha wafike wanajielekeza Albania .
na habari tunayo ipata kwa sasa ni ya NSABIYUMVA FREDERICK FERRE ambaye amepata klabu kutoka SOUTH AFRICA ambayo wako kwenye mazungumzo na inaelekeya mazungumzo yanataka kumalizika na hivi karibuni atapita anajielekeza kwenye ardhi ya Mandela.
na upande mwingine ni mchezaji FISTON ABDUL RAZZAK naye amepata klabu kenya ila upande wao awajakubaliana nao ila kwa habari inayosemekana ni kwamba watafikia na makubaliano ivi karibuni.
na mchezaji mwingine tena ivi karibuni wapo na mazungumzo na klabu ya kenya ni HABONIMANA CELESTIN
bila kusahau goli kipa Mc ARTHUR ARAKAZA upande wake klabu 2 za kenye zinamgombania na kati ya izo 2 moja itaweza kumuchukua endepo wakifikia kwenye makubaliano na klabu ya hapa Burundi inayo muhudumia kwa sasa.
Post a Comment