MISHE-BOY

hi ndio orodha ya wafungaji bora wa afrika barani Ulaya

ni baada ya miaka mingi wachezaji wa afrika wanachezea Ulaya, Worldnewz imeamua kuwapatia orodha kamili ya wachezaji wa afrika wanao ongoza kwa kufunga ma goli barani Ulaya.

1. mukongomani Michy Batshuay ndiye anaye ongoza kwenye orodha ya wa fungaji bora wanao chezeya Ulaya
ni mchezaji wakimataifa ya Congo DRC anaye chezeya klabu ya Standard de Liège.
akiwa na goli 15

2. Hamdi Harbaoui (Tunisie – Lokeren) goli 14


 3.Yaya Toure (Côte d’Ivoire – Man City) goli 12


4. Aatif Chahechouch (Maroc – Sivasspor) goli 12

5. Ikechukwu Uche (Nigéria – Villareal) goli 12

6.Luc Castaignos (Cap-Vert, Twente) goli 12
  
7. Vincent Aaboubakar (Cameroun, Lorient) goli 12

8. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon-Borussia Dortmund) goli 11

 9.Youssef El Arabi (Maroc-Grenade) goli 8 

 10. Mame Biram Diouf (Sénégal-Hanovre) goli 7
 11.Cheick Diabaté (Mali-Bordeaux) goli 7

12. Salomon Kalou (Côte d’Ivoire-Lille) goli 7
  
 13.Wilfried Bony (Côte d’Ivoire-Swansea) goli 7
hao ndio wachezaji wa afrika wanao ongoza kwa magoli msimu kwa sasa.

Hakuna maoni