MISHE-BOY

tizama picha za clip video ya nyimbo mpya Don't Stop by Best Life Music ft Miss Erica. Video Coming Soon

ni groupe ya Best LifeMusic  kwa sasa auwezi kuita ni kundi mpya ila kwasasa ni kundi ambao inakuja moto sana tena kwa sana kwa mambo yao nzuri na kukubaliwa na mashabiki wengi wa hapa nchini Burundi na nje ya nchi. hapa utakuja kuona picha ya nyimbo yao mpya  itakao toka baadae tu tumetaka kuwaonesheni maandalizi ye nyewe na ni ya hali ya juu sana mtakuja kushuhudia pekee yenu.











endelea kufatilia tavuti yetu utakuja kuona video ya nyimbo hii ivi karibuni tu. tuwafahamishe kuwa wamemshirikisha tu Miss Erica ila Miss Erica sio mwenye Chama wa Best Life Music

Hakuna maoni