MISHE-BOY

Black-G: " Kazi na dawa"

ni msanii wa hapa nchini Burundi kwajina alisi ni Djuma Marembo a.k.a Black-G  ao Black Africano kwa izi siku yupo mbioni kukamilisha kazi yake kuwa amezungumza na Worldnewz na kutuakikishia kuwa ivi ameona kuwa muziki kwake ni kazi na ikibidi kuwa kazi lazima acukuwe mda wake wote katika muziki.
hii ni hapo tu siku chache izi nyimbo zake zinazidi kuwa juu sana katika ma redio na washabiki wengi wakikubali kazi yake.
baada ya kurekodi nyimbo nyingi na video chache ambao zinazidi ku sifika sana nchini Burundi na nchi za inje hapa tukizungumzia kama Congo kama nyimbo: Urihe, babiribabiri, tell me, oya na zingine pia na video clip ya Urihe inazidi kupendwa sana na wapenzi wake pia na kolabo zake nzuri zinazomfanya azidi kupendwa sana.
na ivi karibuni ametowa nyimbo mpya na hio nyimbo kila mtu yupo anaiita gisi anavyo taka, wengine wanahita ”Telefone ngendanwa” na wengine eti "ni wewe".
na ametuakikishia kuwa mu wiki mbili video clip ya nyimbo yake ya mpya itakuwa tayari na kutangazwa kwenye runinga tofauti  na ipo inafanyiwa marebisho na producer wa ma video clip H. Bana na akazidi ivi kawa sasa anakazi nyingine bila ya muziki na amesema kua ivi ni kazi na dawa ili akikishe kuwa wapenzi wake wapagawe na kuzidi kupenda kazi yake.
na tuwafahamishe kuwa hivi karibuni amealikwa nchini DR Congo kufanya show pia kuwaburudisha wapenzi wake wa Congo DR / Bukavu  tarehe 14/09/2013 na ni katika tamasha ya Miss Bukavu ila akuondoka pekee yake ameshirikiana na Franck Mwanajeshi.

Hakuna maoni