Studio Mpya Ya Profesa Jay
ni Rapper mkongwe sana wa Bongo flava Tanzania, Profesa Jay , ivi karibuni bahada yakupata mafanikiwa na heshima kupitia muziki ameamuwa na kujiunga na familia ya wasanii wanao miliki Studio zao binafsi na hivi karibuni anatarajia kufunguwa Studio yake ya kutengeneza muziki.
tuwafahamishe kuwa Profesa Jay anakuwa miongoni mwa wasanii wanao miliki studio zao wenyewe za kurekodi muziki nchini Tanzania na hapa tukiwataja baadhi ya wasanii wanao miliki studio zao pamoja na Juma Nature, Mb Dog, Dully Sykes, Quick Rocker, Benjamin wa Mambo Jambo, Kikosi Cha mzinga pamoja na wengine
kwa jina halisi Joseph Haule a.k.a Profesa Jay, alipo ojiwa na Worldnewz amehakikisha kuwa kila kitu kimekamilika upande wa viombo na vifaa mbalimbali vya studio ikiwa ni pamoja na "setup" iliyofanywa na Producer Duke lakini ameakikisha kuwa aijaanza kuifanya kazi.
na amezidi kuongea kuwa " nadhani wiki hii kila kitu kitakuwa sawa ila kuna taratibu ya kisheria ndio bado nazishughulikia lakini soon itaanza".
na ameahidi kutaja jina la producer atakayemfanyia kazi na jina ya studio ni hapo taratibu zote zitakapo kamilika na kuwa tayari kuifunguwa rasmi.

Post a Comment