Vital'o: tambwe Amissi amesajaliwa Dar
kwa habari tunazo leo ni kuwa mchezaji wa vital'o ya Burundi pia mchezaji wa taifa ya Burundi, Tambwe Amissi amesajiliwa na klabu ya Simba, tuwa fahamishe kuwa amekuwa

Tambwe ameiongoza Vital’O kutwaa taji la kwanza la Kagame mwaka huu katika michuano iliyofanyika nchini Sudan na pia akiibuka mfungaji bora wa mashindano hayo kwa mabao yake sita. Na huyo pia ndiye mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Burundi na mshambuliaji chaguo la kwanza katika timu ya taifa ya hapa nyumbani Burundi (Intamba Murugamba).basi tunamatakia mchezaji wetu kila la heri na mafanikiyo mema uko tanzania.

Post a Comment