MISHE-BOY

mchezo: mkenya kuvunja rikodi

klabu ya Southampton ya ungereza imemsajili kiungo wa klabu ya Celtic mkenya Victor Wanyama kwa kitita cha paundi milioni 12.5.
Victor Manyama ana umri wa mika 21 tu, ifahamike kuwa amejiunga na Celtic akitokeya Ubeljiji katika timu ya Beershot kwa paundi 900.000 miaka miwili iliyopita ivi karibuni amejiunga na Southampton.



amesema kwamba klabu ya Southampton inawachezaji wa nzuri na tena wenye vipaji na iyo inanipelekeya nijitume ili niwe mu wa kumi na moja.

Hakuna maoni