MISHE-BOY

Brarudi: Sat-B na Rally Joe wamechaguliwa


ni shirika la Brarudi ndilo linadhamini tamasha zima na hii itakuwa mwaka wake wa 2, tuwafahamishe kuwa mwaka wa kwanza shirika hilo limitia kitita cha pesa milioni moja (100.000.000fbu) na mshindi amekuwa ni Rally Joe.

 ila kwa maoni ya watu wengi wamelahani sana ushindi uwo nakusema kwamba rally Joe akufaha kupewa taji ilo na amependelewa na kamati nzima, nawengine kukubali matokeo. ila sasa shirika tendaji imewahakikishiya kuwa ivi karibuni imeweke kamati (jury) itakayo fuatilia kwa karibu sana shindano nzima. na wasani wa 2 wammechaguliwa na shirika la Brarudi na watafanikiwa kuzunguhuka nchi nzima kwa tamasha nzima ni pamoja na Rally Joe na Sat-B. mwaka uliopita imekuwa ni Yoya na Peace and Love. 10
 ifahamike kuwa mwaka huu wametiya pesa milioni tanu (15.000.000fbu).
wanawalikeni nyinyi wote kujiandikisha ili uoneshe uwezo wako.
lengo hasa ni kutangaza music za hapa nyumbani iwe na eshima na wasanii pia wapate uwezo wakujiendeleza katika music na kuonesha pia uwezo wanao hapa na inje ya nchi.ninahimani msanii atakaye fanikiwa kupata izi pesa milioni tanu (15.000.000fbu) ataweza kujiendeleza kimaisha na music pia.

Hakuna maoni