MISHE-BOY

Usajili Upande ya wachezaji wa Afriqua

kama kwaida yake kila mwaka lazima pawe usajili duniani pote ili timu inayo jiweza kusajili wachezaji wa zuri ili ya kujenga timu zawo ziwe za hali ya juu, basi tizama hapa wachezaji wa Afrika wakishajiliwa sehemu mbalimbali :



ni mchezaji wa JS Kabylie (Algérie) anasajiliwa na U
dinese (Italie)






Yacine BRAHIMI mchezaji wa rennes (France) anaelekeya Grenada(espania).
wote wa 2 wana asili ya Algeria.



Vincent ABOUBAKAR mchezaji wa valenciennes(France) amejiunga na lorient (France). ni raia wa Cameroon.





Jacques ZOUA 



Aurélien CHEDJOU ni mchezaji wa 
Lille(France) 
amejiunga na timu ya Galatasaray 
(Turquie).naye 
pia nimwenyeji wa Cameroon.
            

                     
                                                                 
                                                                                                                                                                           Jacques ZOUA mchezaji wa Fc Bale (suisse) amesajiliwa na Hambourg (Allemagne) naye pia nimwenyeji wa Cameroon.    
                                                                                                                                            

Eloge ENZA-YAMISSI mchezaji wa
Troyes (France/D2) amejiunga na
Valenciennes (France), ni mwenyeji wa
CENTRAFRIQUE.


               
              Habib KOLO TOURE
ni mchezaji wa Manchester City (Angleterre) ninaimani munamfahamu sana ivi karibuni amejiunga na Liverpool (Angleterre) ni mwenyeji wa Ivory Cost


Siaka TIENE mchezaji wa Paris SG (France)amesajiliwa na Montpellier (France), naye pia ni raia wa Ivory Cost.          





 Ahmed ELMOHAMADY amesajiliwa na 
 Hull City (Angleterre), raia wa EGYPTE




 
  


Drissa DIAKITEmchezaji wa
Olympiakos (Grèce) ameamia huu mwaka
SC Bastia (France) ni Raia wa Mali.





Younès BELHANDA mchezaji wa  Montpellier (France) amesajiliwa na  Dynamo Kiev (Ukraine) nimwenye asili ya Maroc.





Zakarya BERGDICH mchezaji wa RC Lens (France/D2) amesajiliwa na Real Valladolid (Espagne) ni Raia pia wa Maroc







 

Issam EL ADOUA mchezaji wa Vitoria Guimaraes (Portugal) amesajiliwa na Levante (Espagne) pia naye ni Raia wa Maroc.









Yves ANGANI ni mchezaji wa
FC Système (RDC) amesajiliwa na FC Metz (France/D2) Na Raia wa RD CONGO


 
Cédric MAKIADI ni mchezaji wa Fribourg (Allemagne) amesajiliwa na Werder Brême (Allemagne) naye pia ni Raia wa RD CONGO.



Dieumerci MBOKANI 
ni mchezaji wa
Anderlecht (Belgique) amesajalia na
Dynamo Kiev (Ukraine) pia ni Raia wa RD CONGO.







Cuthbert Malajila mchezaji wa Maritzburg United (Afrique du Sud) amesajilia Mamelodi Sundowns (Afrique du Sud), ni Raia wa ZIMBABWE. tuwafahamishe kuwa usajili unaendelea muwe kando nakuifatilia bLOG hii mtapata mengi zaidi insha'Allah.

Hakuna maoni