Togo inafungiwa na Fifa
![]() |
timu ya Togo |
FIFA imeamuwa kukata pointi tatu timu ya Togo katika kufuzu Kombe la Dunia 2014 nchini Brasilia.wameshutumiwa kuchezesha mchezaji wao Jacques – Alaixys Romao,ambaye alikuwa chini ya kusimamishwa, dhidi ya Cameroon mwezi Juni, tuwafahamishe kuwa Togo imeifunga Cameroun (2-0) ila ivi Cameroun imechukuwa na fasi ya kwanza kwa kundi yao kabla awaja kumbana na Libya mchezo wa mwisho, Kumbuka, hata hivyo, kwamba kuna uhakika juu ya mechi hii mnamo Septemba 9 kutokana na kusimamishwa na Cameroon endapo wa FIFA ikikata rufaa ya Cameroon kusimamishwa kwa kila mchezo wa FIFA basi itapelekeya walibya kutawaziwa wa kwanza katika iyo kundi na kufuzu kombe la Dunia 2014.
![]() |
Jacques – Alaixys Romao |
![]() |
Jacques – Alaixys Romao |
Post a Comment