MISHE-BOY

Sura mpya ya Real Madrid

kwa mujibu wa Rais wa timu ya Real Madrid, amesema kuwa anaitaji kujenga timu ya Real Madrid kwa kusajili vijana wenye uwezo na nguvu pia wenye vipaji vya ajabu, ni hapo jana tarehe tano mwezi huu alipo mu fahamisha kwa mara ya pili tena mchezaji wao alie rudi katika timu yake ya utotoni, Dani Carvajal, amekuwa anahazimwa ivi wameona kuwa anafaha na anaitajika kwenye timu.

Francisco Román a.k.a ISCO
 ifahamike kuwa ni mchezaji wa pili tena kijana sana Real Madrid imekwisha sajili bahada ya Francisco Román a.k.a Isco
Dani Carvajal






Timu ya Real Madrid ipo mbioni tena kumusajili mchezaji wa Real Sociedad tena kijana mwenye asili ya Espania Asier Illaramendi 
kaka
                                      na kwa mujibu wa mchezaji konngwe wa Milan AC, Kaka amesema kwamba kocha wazamani wa Real Madrid (Mourinho) amekuwa anambani sana kwajili wamewahi kuzungumuza naye, Mourinho alikuwa anapenda kumuhuzisha Kaka Chine ao Russia, kwajili uko angepewa ela nyingi zaidi kuliko na zenye anazo zipata mu Real Madrid ila Kaka alikuwa napendelea ajielekeze Ungereza katika timu ya Man United ao Italia katika timu ya Milan AC. basi ikapeleka kuto kuelewana ikawa chanzo cha kumuacha inje na asishamili zaidi.inapelekeya yupo nafasi kwa kocha mpya kwajili anamufahamu sana.
Asier Illaramendi

Hakuna maoni