MISHE-BOY

timu ya Guinea kafungiwa na FIFA




Emilio Nsue Lopez
timu ya taifa ya Guinea Ikweta imefungiwa na FIFA kwa kumuweka muchezajiEmilio Nsue Lopez ambaye alikua anaruhusa ya kucheza mechi dhidi ya Cap – Vert ambapo Guinea Ikweta imeibuka washindi kwa mabao 4 kwa 3 ya Cap-vert, mechi iyo imekuwa ni munguko wa tatu wakugombania kufuzu kombe la dunia 2014 nchini Brazilia,














na habari tunaz zipata ni kuwa Manchester United inatamani kumusajili mchezaji Saphir Taïder.
ni mchezaji wa kimataifa wa Algeria.




kipa wa Bayern Munich, Tom Starke, alitoa mkono wake na kumupiga  kocha wake ngumi, Pep Guardiola, bila kukusudia.






Hakuna maoni