MISHE-BOY

Tito vilanova amejiuzulu





kocha wa klabu ya Barcelona ya espania amejiuzulu kama kocha wa  timu hio.
ni hapo leo na saa mbili na nusu ndipo klabu ya Barcelona imeandaa mazungumuzo na kocha wao (Tito Vilanova). mazowezi ya klabu imekuwa ifanyike saa moja ya usiku ila imeharirishwa bila sababu, ndipo viongozi wa klabu akiwemo Rais wa klabu (Sandro Rosell) wakaandaa mazungumzo na kocha wao.

ifahamike kuwa kocha Tito Vilanova amekwisha fanyiwa operesheni mara pili nchini Amerika kwa ajili ya uvimbe katika tezi ya parotidi (cancer), mbele aliwahi kumuachia makam wake usukani (Jordi Roura) ila matokeo imekuwa mbovu ata kama wamebahatika kuchukuwa ubingwa wa la Liga kwa 84% ya ushindi yaani mechi 32 ya ushindi dhidi ya mechi 38 mbele ya wapinzani wao Real Madrid na Atletico Madrid, awakuwa na uwezo wakuifunga Real Madrid kwa kila mechi wakikutanana na bila kusahau kipigo kisicho na musamaha tena  historia ya kupigwa mabao saba bila jibu (7-0) katika ligi ya mabingwa dhidi ya Bayern Munich

.tufahamu kuwa mkataba wake ni hadi hapo juni 2014  na ana umri wa miaka 44 ila ivi ameonekana ayupo tayari kuendelea ku ikochi timu kubwa kama Barcelone na isitoshi shinikizo ya mechi mengi itaweza kumupelekea kumuweka atarini sababu ya hafya.




Joan Francesc Ferrer
 na ivi karibuni ataweza kubadilishwa na kumtangaza Joan Francesc Ferrer kama kocha wa Barcelona. ila Rais amesikitiza nakusema kocha mpya atafahamika wiki ijao.

Hakuna maoni