MISHE-BOY

barcelona bado ulinzi ni wasiwasi

Gerardo Martino

kocha wa mpya Gerardo Martino (Tata), ni mu Argentina inasemekana kama ni Messi ndiye amewalazimisha viongozi wa klabu ya Barcelona kumusajili kocha uyo  alie murudilia kocha wazani wa klabu ya Barcelona Tito Vilanova. na  kocha uyo ametamka kuwa ulinzi bado ni mbovu sana katika hio klabu na amepeleka maombi yake kwa viongozi wa klabu ya kuwa wasajili wachezaji ata wa wili wa ulinzi (defenseur).na  timu aina budi kusikiliza malalamiko yake kwajili wamekwisha fanya itihada nyingi baada ya uhamisho wa Thiago Silva, David Luiz, Marquinhos kufeli , basi kocha mpya Tata anashuhudiwa kurebebisha kasoro hii na kumuleta beki wake  wa Newell's Old Boys , Santiago Vergini.
Santiago Vergini

Santiago Vergini
 Na kwamujibu wa ripota wetu ametuakikishia kuwa mazungumzo tayari imeanza kati ya klabu mbili kwa ajili ya mchezaji Santiago Vergini mwenye asili ya argentina na anamiaka 24 na amewahi kuitwa katika timu ya taifa mara moja. tuwafahamishe kuwa kocha uyo mpya Tata ametaja jina la Walter Samuel mchezaji wa Inter Milan ya Italia mwenye umri wa miaka 34 kama anamuitaji pia ili kuboresha ulinzi wa klabu hio.
tuwafahamise kuwa klabu hii imepoteza mechi yake hapo jana dhidi ya klabu ya Bayern Munich 2-0 kwa ushindi wa Bayern Munich ila ni muchezo wa kirafiki na miongoni ya wachezaji wa klabu ya Barcelona wale vigogo  awakuwepo kama Xavi, Iniesta, Sergio,Alves, Piqué, Neymar, pedro, Fabregas,...
Walter Samuel

Hakuna maoni