MISHE-BOY

barcelona kumuitaji Wayne Rooney


timu ya Barcelona na Manchester inaoneka kupatikana na maelewano kuhusu mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney kuamia katika timu ya Brcelona kwani timu ya barcelona inaitaji kuboresha upande wa ushambuliaji na ulinzi. ila kwa musemo wa kocha mpya wa Man United David Moyes kuwa awezi kumurusu mchezaji wake kuamia popote ila Barcelona imetia pesa  milioni 25 na nyongezo  ya mchezaji David Villa, na iyo imepelekea David Moyes kukubali hofa iyo ya Barcelona na ni ivi karibuni itakamilisha uwamisho wa Wayne Rooney kutuwa Espania katika timu kubwa ya Barcelona. tizama (picha) gisi mutindo wanao itaji kucheza mwaka ujao. na ivi karibuni mchezaji wa PSG pia wa timu ya taifa ya Brasilia Thiago Silva ameonesha nia yake yakujiunga na Barcelone akizungumza na mwenzie Daniel Alves kuwa " ninaitaji kuhamia katika timu ya Barcelona". swali ni kwamba je viongozi wa PSG watakubaliana namahamuzi  Thiago Silva ?

Hakuna maoni