MISHE-BOY

nani atakae kuwa mchezaji bora barani ulaya?

list ya wachezaji watakao gombania kuwa mchezaji bora barani Ulaya wakati wa msimu uliopita, ifahamike kuwa anaye shikilia taji hii ni Andres Iniesta                                                                                                  






 Wachezaji kumi kuwa wamechaguliwa kwa ajili ya uchaguzi ya mchezaji bora katika Ulaya msimu huu:




Gareth Bale (Tottenham Hotspur), pia ndiye mchezaji katika ligii kuu ya Ungereza.





 Cristiano Ronaldo (Real Madrid),akufanikiwa kupata kitu msimu uliopita bali ya kuwa mfungaji wa pili bora katika ligi kuu ya Espania








Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain), amefanikiwa kupata taji la ligii kuu ya Ufaransa na pia ndiye amekuwa mfungaji bora katika ligii kuu ya Ufaransa.



Robert Lewandowski (Borussia Dortmund), amefanya vizuri sana katika timu yake kwa kuifikisha  katika final ya ligi ya mabingwa.






Lionel Messi (FC Barcelone), amefanikiwa kuwa pichichi yaani mfungaji bora na amechukuwa kombe ya ligi kuu ya Espania.






Thomas Müller (Bayern Munich), amechukuwa kombe ya ligi kuu ya Ujerimani na ligi ya mabingwa( champions league).





Franck Ribéry (Bayern Munich), amesaidia timu yake kuchukuwa kombe ya ligi ya mabingwa na kombe ya ligi kuu ya Ujerimani.




Arjen Robben (Bayern Munich), amechangia sana timu yake kwa kufuna magoli nakupelekya tmu yake kuchukuwa kombe ya ligi ya mabingwa na ligii kuu ya Ujerimani.




Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich),mchezaji wakiungo mzuri sana na amechukuwa kombee ya ligi ya mabingwa  na kmbe ya Ujerimani.






Robin van Persie (Manchester United), amefanikiwa kuwa mfungaji bora na akasaidia sana timu yake kuchukuwa kome ya ligi kuu ya Ungereza.
nani kati ya hao atakaye tawazwa mchezaji bora barani ulaya?







Hakuna maoni