MISHE-BOY

HIGUAIN KUPOKELEWA KAMA MWAMI






 awali amekua anazungumuziwa katika timu mbali mbali ivi karibuni ametuwa katika klabu ya Napoli Gonzalo Higuain mchezaji wa Real madrid. amepokelewa kama mwami na ma elfu za watu wa hapo Italia. kila mtu alitamani kumuona na kumugusa. na inasemekana wana hofia kumutambulisha kwenye uwanja wao ili pasitokeyi vurugu ya washabiki kama ilio mtokeya David Villa mchezaji wa Barcelona alie amia katika klabu ya Atletiko Madrid. tuwa fahamishe kuwa uamisho wake ni milioni 40  kwa miaka mitano na musahara wa milioni  4.5 kwa kila mwaka.




Hakuna maoni