MISHE-BOY

filamu mpya ya LIZZO

msanii mahiri sana wa hapa nyumbani Burundi, tena anaye sifa nyingi kwa muziki wa hapa nyumbani na inje ya nchi, hapa ninamzungumzia Lolilo kwajina lake halisi ni Niyonzima Salum, ivi karibuni ametufahamisha kuwa filam mpya ya kwake ipo njiani kutoka na itakuwa filam ya pili baada ya kwanza tayari amekwisha kutowa na wengi mumekwisha kuiona katika maruninga tofauti inayojulikana kwa jina ya '' The Eagle''.

kama gisi munavyo ona kwenye bango ni filam ya kwanza kwa murundi kucheza, kwani inamiujija mengi ya kimashetani na lolilo kama gisi umeona yupo na sura mbili ya kike na kinaume na filam inakuja kwa jina ya MALEDICTION '' LAANA''.

      loliane                          diamond                       lolilo                                                 
na wasanii waliomo ni Miss Loliane akiwa mpenzi wake,wabinamu wake wa wili Ornella na Bethina, muimbaji Olga, na pia mpenzi wake wazamani Chany Queen, na wengine kibao mtawaona.

na ivi karibuni msanii huu (Lolilo a.k.a Lizzo) amenunua gari mpya ya aina ya Corona na hiyo gari imemgarimu pesa nyingi sana. iyo gari kama munavyo iona iko na kamera fasi yote na inaonekana tu ni ya msanii mkubwa

wapenzi wa Lolilo muwe kando ivi karibuni mtapata filam iyo nakuamini kama Burundi tunaweza



Miss Loliane
Miss Loliane
Malédiction
Malédiction

Hakuna maoni