MISHE-BOY

fizzo amekwisha rudi Ufaransa

fizzo ku air port
Msanii wa Burundi anaye julikana kwa jina la MUGANI Desire a.k.a Big Fizzo Burundiano (Farious) toka jumaa-tano iliopita alisafiri kurudi Inchini Ufaransa. safari yake hio ya kimya kimya na kuwahacha baadhi ya mashabiki kujiuliza maswali mengi, amekwenda kuonana na mkeo wake yaani mama wa mtoto wake baada ya kufanya ziara yake hapa inchini Burundi ya mwezi sita.maneno imekuwa mengi hapa mitahani nakusema kuwa ato rudi tena yaani amefulia, basi Msanii ameongea na watangazaji wengi wa hapa inchini Burundi nakuwaomba wasitangaze safari yake mpaka hapo atawasili inchini Ufaransa. pia tukumbuke kuwa kwa ziara yake alioifanya hapa inchini ameacha nyimbo karibuni 8 zake mwenyewe na kolabo alizozifanya na wengine pia baadhi ya wengine akumalizana  nao ila ameomba msamaha na kuwakikisha kwamba atakapo rudi tena atamalizana nao ni kama deni amekwenda nayo.ifahamika kuwa Msanii Fizzo atarudi hapa inchini kwa sababu anakandarasi (contrat) alio saini na kampuni ya Brarudi kwa mwaka wa pili kwakuandaha mashindano ya Primusic. pia akusahau ahadi ya albamu ya Burundiano, amesema ipo njiani.
mke wa Fizzo na mwanae

Hakuna maoni