MISHE-BOY

usajili barani ulaya

fanck tabanou
Frank Tabanou mchezaji wa Toulouse anatafutiwa na Saint-Etienne, tayari timu ya Saint-etienne kutiya mezani bahasha ya millioni 4 ila Toulouse wanaitaji millioni 5, mchezaji kwa upande wake yupo tayari kwenda katika timu ya Saint-Etienne, kinachobaki ni pande 2 kuelewana.


               Swansea timu ya ungereza inataka kumusajili Mubarak wakaso, ni mchezaji wa kimaifa ya Ghanan na inapelekeya pande zote 2 yaani kati ya SWANSEA na Espagnol   kufikiya makubaliano. kiwango cha usajli wake ni milioni 4.
coach wa tottenham amempigia simu David Villa ki binafsi kwajili aweze kujiunga na timu yake ya Spurs, ifahamike kuwa mchezaji anabakiza musim mmoja tu na timu yake ya Barcelone na anapendelea kuyihama kwajili anaona awezi kupewa mda murefu wa kucheza, ni timu nyingi ziko mbioni kumunasa ikiwemo na Florentina, Arsenal, liverpool na Tottenham.

usajili wa Mario Gomez imetibishwa na manager wake Uli Ferber kwamba Mario amechanguwa yeye pekee yake kuelekeya Italia katika timu ya Florence, uku imekuwa inabaki nimahamuzi yake yakuchaguwa mahali ataelekeya, na timu nyingi zilikuwa zina mutaka ikiwemo Chelsea, na kiwango cha ushajili wake akijafahamoika        




Altintop ame saini myaka 2 katika timu ya FC Augsturg na amekubali kurudi katika ligi ya bundesliga inchini Ujerimani na amesema: najsikia vizuri sana kurudi kuchezea bundesliga.




Mazungumzo inaendelea  kati ya Saint-Etienne na Dortmund, inaonekana watafikia kwenye makubaliano ya Emerick Aubameyang kuelekea Ujeremani katika timu ya Dortmund na kiwango cha usajili wake bado akijajulikana                                 

Hakuna maoni