MISHE-BOY

vital'o inafurahisha Burundi nzima

ni hapo jana ijumaa tatu tarehe 1/07/2013, ndipo palikua final ya Cecafa inchi Sudan, kati ya Vital'o ya Burundi dhidi ya APR ya Rwanda. Ushindi ulikuwa wa Vital'o kwa bao 2-0 na pia wachezaji wa timu ya Vital'o wamepewa zawadi, umoja ni Tambwe Gilbert (goli 6) amepewa zawadi ya mfungaji bora na Christian Mbilizi kuwa mchezaji bora wa Cecafa mwaka huu, tuwafahamishe kuwa ni mara ya kwanza tanga Cecafa ianze timu ya Burundi kunyakuwa kombe, na wamepewa bahasa ya dola elfu salasini(30.000dolars).tunawangojelea hapo kesho kwa uwezi wa mwenyezi Mungu kuwasili hapa nyumbani na Kombe hiyo, ninaimani itatembezwa bujumbura nzima kwa shangwa nyingi.

Hakuna maoni