MISHE-BOY

mama mzazi wa sharobaro kuwa na hofu ya mali ya mwanae



ni mama yake mzazi wa msanii wa bongo Tanzania Sharo milionea kwa sasa ni marehem pia alikua mcheza filamu pia mchekeshaji (comédien) na muimbaji pia. ivi karibuni baada ya mazishi ya mwanae (Sharo) wamemuaidi kuwa kuna mali ambao wataweza kumukabidhi alio acha mtoto wake. sasa akuna kitu kinacho endelea bali ni ukimya tu.
 
mama wamerehemu Ramadhani Hussein a.k.a sharo milionea  ameingiwa na hofu kubwa na anaimani atakuja kupoteza mali ya mwanae bila kujitambua.na mali ambao ameaidiwa mama mzazi wa marehemu ni gari ya aina ya Oppa ambao inathamani ya milioni 16. ifahamika kuwa marehemu ameazima Gari aina ya Toyota harrier ile ambalo alifanya nayo ajali lilikua la thamani ya milioni 25 ila mwenye Gari ya Toyota harrier siku ya matanga aliomba akabidhiwe gari ya Sharo ya aina ya Oppa aitumiye baadae atamurudishia mama Sharo ila kwa ubovu wa bahati mpaka leo  mama Sharo ajarudishiwa Gari na inapelekea mama Sharo kuwa na hofu na mali ya mwanae.


 aliekuwa rafiki wake wa karibu sana na marehemu (Sharo) naye pia ni mucheza filamu, mchekeshaji pia muimbaji kwajina Kitale amesema kuwa '' baadhi ya watu na mashabiki wa marehemu wanafikiri kuwa mimi nashikilia hizo mali wakati ndivyo sivyo''.
na amezidi kuongea na kuweka watu wazi kuwa '' Sharo alikuwa anamiliki Gari ya aina Oppa na Bajaji''.



tuwafahamishe kuwa kuna filamu ya mwisho marehmu alicheza na rafiki yake Kitale na makubaliano yao imekua ni wakija kuuza filamu waweze kugawana mapato kwa iyo mashabiki watambuye hilo.

Hakuna maoni