MISHE-BOY

usajili barani Afrika



tina ya Raja Casablanca imefanikiwa kupata uwahamisho wa mchezaji mwenye asili ya Congo DRC pia mchezaji wa Tp Mazembe Deo  Gracia Kanda A Mukoko katika dirisha kubwa ya usajili na amesaini miaka mi tatu na ana umri wa mika 24.


Faouzi Ghoulam ni mchezaji wa AS Sainte-Etienne hii leo ndio wamefikiana waongozi pande zote kwa uhamisho wake kuelekeya Torino na usajili wake ni wa milioni tatu.




Mohamed Salah ni raia wa Masri(Egypte) ameongeza tena musimu katika timu ya FC BALE tuwafahamishe kuwa amejifungia bao 8 katika mechi 40 katika klabu yake ya fc bale.


Mehdi Benatia ni beki mwenye asili ya Marok, baada ya mazungumzo marefu, ivi karibuni amesajiliwa na AS Roma.








Oussama  Darragini mchezaji  wa katikati
wa Fc Sion ivi karibuni amerudi katika klabu ya Esperance ya Tunisia



Anicet Eyenga ni raia wa Camerun na amesajiliwa na klabu ya Marok ( Olympique Safi), amesaini miaka 2.

Hakuna maoni