MISHE-BOY

CHAN: matokeo ya mechi


ni hapo wiki ilio pita  tarehe 6 july palikuwa michezo mengi ya Chan Mchuano wa duru ya awali ya Wachezaji wanao sakata gozi la nyumbani maarufu kama CHAN itakayo dhiri Sauza Afrika,


burundi 1-1 Sudan

Nigeria - Côte d’Ivoire : 4-1

RD Congo 3-1  Congo braza

Tunisie – Maroc : 0-1

Mali – Guinée : 3-1

Sénégal - Mauritanie : 1-0

Burkina Faso – Niger : 1-0

RD Congo – Congo : 2-1
 tuwafahamishe kuwa mech ya Cameroon dhidi ya Gabon aikuchezeka kwajili ya kufungiwa na Fifa kamati nzima ya mpira ya Cameroon (Fecafoot).









Hakuna maoni