MISHE-BOY

WACHEZAJI 6 KUGOMBANIA BALLON D'OR

wachezaji hao wa 6 ndio wamechaguliwa kugombaniya kuwa mchezaji bora ya kombe la shirikisho  (confederation) 2013 inchini Bresilia, akiwemo Neymar wa brazilia na Paulinho, Wahispania Iniesta na Sergio Ramos, na Italia kiungo Andrea Pirlo na Celeste mshambuliaji Luis Suarez. Wachezaji hao wote wamefanya angalau kufikiwa nusu fainali ya mashindano.
nani kati ya hao wewe unaona ataweza kupewa ballon d'or la shirikisho?