MISHE-BOY

SANCHEZ: sina woga na Neymar

baada ya kuwasali neymar katika timu ya barcelona, Alexis Sanchez alitangaza kwamba ana hofu ya  ushindani ndani ya ya blaugrana halisi. tuwakumbushe kuwa mchezaji Alexis Sanchez alisema: ''napenda ushindani, nina sifa ya kucheza sambamba na Neymar pia na Messi na itakuwa furaha kwangu kucheza na wao, ushindani unanipa nguvu. Neymar nimpinzani lakini nitafanya kila iwezekanayo uku nikihakikisha nasaidia timu na ninataka kufanza vizuri''. ni mchezaji wa kimataifa wa Chile mwenye umri 29 na alifunga mabao 8 katika mechi 29 msimu uliopita na anatafutiwa na timu nyingi barani Ulaya, ila yeye anapendelea kubaki katka timu yake ya Barcelona. Neymar kweli amekuja kumusaidia Messi kuwa mchezaji bora zaidi na hii inapelekeya wa shambuliaji wengi kutaka kuama katika iyo timu kwajili wanaona awatakuwa wanapewa mda wa kucheza kama Villa, Sanchez, Tello, Fabregas.

Hakuna maoni