MISHE-BOY

MOURINHO LENGO LAKE NI LIPI MU CHELSEA?



Mourinho asipokuwa makini, kocha mpya wa Chelsea, Jose Mourinho atapoteza wachezaji muhimu wanne ambao wote kwa pamoja wana thamani ya pauni 100 milioni.
David Luiz, Juan Mata, Fernando Torres na Romelu Lukaku ni wachezaji wanaosakwa kwa karibu na klabu kadhaa za Ulaya. 
 Wiki iliyopita nyota wa Barca, Neymar na Lionel Messi walitamka wazi kwamba wanataka kuona nyota wa Hispania Mata akijiunga na kambi ya Nou Camp. Vilevile Mata anasakwa na Real Madrid. Luiz anasakwa na  Paris Saint-Germain, ambayo inasaka mtu wa kuchukua nafasi ya Thiago Silva, ambaye yupo njiani kwenda Barcelona.  
Napoli inamsaka Torres, kuziba pengo la Edison Cavani.  Lukaku anataka kuondoka kwani haoni kama ana namba Chelsea. Msimu uliopita Lukaku alikuwa West Brom kwa mkopo. tuwa fahamishe kuwa alitangaza kuwa awataki aho wa chezaji yaani David luiz, Mata na Hazard na hao wachezaji yeye anadai kuwa awafahi ndio vitegemeyo sana katika iyo timu ya chelsea.habari itaendelea

Hakuna maoni