MISHE-BOY

Francisco Alarcon Suarez a.k. a Isco: Messi ni muchezaji bora

Francisco Alarcon Suarez, a.k. a Isco, ivi karibuni ni muchezaji wa Real Madrid, tuwakumbushe kuwa amesajiliwa huu mwaka na Real Madrid, ali ojiwa na gazeti moja inchini inspania akajibu kuwa yeye ni shabiki wa Barcelona tangu akingali mtoto na anapenda sana mfumo wa timu hiyo tena anampenda sana Xavi, Iniesta na Ronaldinho. ivi karibuni amepewa mchezaji bora wa euro 2013 U21, pia ameita mbwa yake Messi, hapa akieleza sababu : ''
Nilimwita mbwa wangu kwa sababu  Messi ni bora katika dunia na mbwa wangu pia."

Hakuna maoni