MISHE-BOY

New Video | Etienne Nkuru - Icyo Yavuze Ft Aimé Uwimana | Download Mp4

Msanii wa muziki za injili kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Canada, Etienne Nkuru baada ya kuachia album yake siku za nyuma iliyobeba jina la Senga, kwasasa anzidi kuitikisha ulimwengu wa gospel na video ya wimbo wake mpya unaobeba jina la ICYO YAVUZE akishirikiana na Aimé Uwimana.

Aidha, Msanii huyu anampango wa kurudi nchini mwake Burundi na kuanda bonge la show hivi karibuni.

Kama wewe ni msanii na unapendelea kazi zako zipatikane hapa, wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.

Hakuna maoni