MISHE-BOY

News | Mr Champagne ni msanii mwenye roho mbaya nchini, asema Bien Freema

Msanii wa muziki wa Buja Fleva ambae anazidi kufanya vizuri zaidi kwa kutumbuiza kwenye tamasha mbali mbali nchini Burundi, Bien Freema alifunguka kuhusu usiano mbaya kati yake na msanii Mr champagne wakati unaweza kupatwa na msangao licha ya malumbano kwenye mitandao sometimes unaweza kuwaona wakiwa pamoja sehemu wakichangia maji, ...

Akizungumzia katika kituo cha radio CCIB kwenye kipindi Kumekucha Buja Fleva cha mtangazaji Lavista na Remson, Bien Freema alidai na kusema miongoni mwa wasanii wenye roho mbaya nchini Mr Champagne ni wa kwanza.

Hii Hapa sauti ya Bien Freema akimdiss Mr Champagne wazi wazi : 


Hakuna maoni