MISHE-BOY

Sport | Hii ndio Wimbo wa Kombe la Dunia 2018 ya Jason Derulo

Wimbo rasmi wa Jason Derulo wa Kombe la Dunia 2018 imeachiwa baada ya miezi kusubiriwa.
Ilitangazwa mwezi Februari kuwa mwanamuziki wa Marekani atachukua nafasi ya Pitbul na Shakira kwa kushirikiana na Coca Cola kwa mashindano nchini Urusi. Miaka minane baada ya Waka Waka kutumiwa kwenye Kombe la Dunia 2010, kamwe wapenzi wa soka hawatasahau wimbu huwo.

Bila shaka wimbo huu itatangazwa rasmi Machi 16 na Jason Derulo ataitambulisha kwenye sherehe ya ufunguzi wa Kombe la Dunia huko Moscow msimu huu.

Ebu Isikilize hapa kwa mara yako ya kwanza

Hakuna maoni