Sport | Hatimaye Neymar kurudi mapema uwanjani
Neymar aliyefanyiwa operesheni ya mguu wake mapema Machi, anaweza kurudi mapema uwanjani tofauti na jinsi tulivyotarajia.
Alitangazwa kurudi kwenye Coupe de France, nyota wa Brazilia anaweza hatimaye kuwepo kabla ya tarehe hiyo na kucheza mechi tatu za mwisho za Ligue 1 dhidi ya Amiens, Nice na Caen.
Kulingana na maelezo ya vyombo vya habari vya Brazil, PSG imeachia familia ya mchezaji kuzidi kuwa karibu na mchezaji ili apate nafuu haraka zaidi pia jitahada za Rafael Martini zimeweza kumsaidia Neymar kurudi kupona araka ipasavyo.
Mambo yanazidi kuwa sahihi kwa mchezaji wa zamani wa Barcelona ambaye anatarajiwa kurudi kabla ya mwisho wa mwezi Aprili, endapo mambo yote yatakwenda sawa.
Post a Comment