MISHE-BOY

Sport (Rasmi) | Usain Bolt anajiunga na Mamelodi Sundowns FC

Mwana riadha mwenye asili ya Jamaika, Usain Bolt amesaini mkataba na klabu ya Mamelodi Sundowns FC baada ya kustaafu kazi ya riadha tangu michuano ya Dunia 2017 huko London, bingwa wa Olimpiki wa Jamaika, Usain Bolt anatimiza  ndoto yake ya kuwa mchezaji wa soka wakulipwa. 

Mtu mwenye mbio zaidi duniani atashiriki Jumatano hii na klabu yake mpya  Mamelodi Sundowns FC, iliyopatikana Pretoria (Afrika Kusini).

Hakika nyota wa Jamaika alitangazwa rasmi Jumapili hii na kuonesha ishara ya saini yake ya kujiunga na klabu inayongoza ligii kuu nchini hapo na ikiwa bingwa mara saba katika historia yake.

Lakini Mamelodi Sundowns  haikusubiri kuweka shaka miongoni mwa wapenzi wa soka, iliweza tangaza rasmi kwenye mitandao yao ya kijamii na kuweka wazi kuwa mfalme wa mita 100 tayari kajiunga na klabu.

Hakuna maoni