Sport | List ya washindi wa tuzo ya Golf Junior Club 2018 jijini Bujumbura
Mchana wa kuanza mwaka 2018 waandaaji wa tuzo za Golf Junior Club nchini Burundi jijini Bujumbura walitoa tuzo hizo rasmi kwa wachezaji na makocha waliofanya vizuri katika michuano hiyo iliyondaliwa na Club Golf Bujumbura.
Tuzo izo zilitolewa katika vipengele (Categories) tofauti uku walioshiriki michuano hiyo ni wachezaji zaidi ya 54.
Kwenye michuano hiyi kijana mdogo mwenye umri wa miaka 10, IGIRANEZA Akram alishinda tuzo na akiwa mchezaji wa kwanza kutwa tuzo hiyo kama mcheza Golf mtoto na kuchukua nafasi ya tatu.
List za washindi wa tuzo GOLF Club Bujumbura :
2em categories (9 Trous) Gross
3. IGIRANEZA AKRAM = 57 ( miaka : 10)
2. HASHIM Djumaine = 55 (miaka : 12)
1. SINAMENYE Hassan = 52 (miaka : 12)
1er. Categories ( 18 trous) gross.
3. ABIBU Suleiman = 74 (miaka : 13)
2. HAMISSI Hussein = 73 (miaka : 17)
1. NIYONKURU Jihadi = 73 C/B ( miaka: 17)
Kocha bora : Kudra Nahimana
Baada ya kutangaza washindi ilikua ni mda wa kuchangia chakula kwa pamoja na kuonesha ishara nzuri kwa wachezaji wote walioshiriki mchuano huwo.
Tazama picha za washindi hapa

Post a Comment