Sport | Nzokira Jeff aendelea kutamba nchini Djiboutie
Ikiwa ni mwanzo wa msimu baadhi ya wachezaji wanao cheza mpira wa kulipwa nje ya nchi, wameanza kwa kasi zaidi kwa kuonesha juhudi binafsi na kupelekea klabu zao kufanya vizuri, ni kama golikipa wa timu ya taifa Intamba Murugamba, Nzokira Jeff wa A.S.A.S Djibouti Telecom ya nchini Djiboutie.
Nzokira Jeff azidi kutamba nchini hapo kama golikipa bora mara tatu mfululizo zimeanza tena kuonekana tena msimu huu 2017/2018.
Golikipa huyu namba moja wa A.S.A.S Djibouti Telecom na timu ya taifa Burundi, tayari mpaka sasa amekaa langoni mwa A.S.A.S Djibouti Telecom mechi zote za awali za ligi Kuu nchini Djiboutie na kuipelekea klabu yake kuongoza ligi kuu nchini hapo.
nzokira Jeff |
Post a Comment