Sport | Klabu ya simba Sc yamtambulisha kocha wake mpya
Klabu ya Simba SC kutoka nchini Tanzania, imemtambulisha rasmi kocha wake mpya Pierre Lanchatre ambaye anakuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na kocha raia wa Nigeria aliyeondolewa Joseph Marius Omog.
tuwakumbushe kuwa Pierre aliwahi kuipa Cameron ubingwa wa Kombe la Mataifa Huru Afrika mwaka 2000 na ataanza kazi rasmi baada tu ya Simba kumaliza mechi yake dhidi ya kagera Sugar.
Aidha Pierre ataungana na kocha msaidizi mrundi Masoud Djuma pia na Mtunisia Mohamed Habib kwa kukinoa kikosi cha Simba uku kikiongoza Ligi kwa pointi 29.
Post a Comment