Newz | Hivi ndiivyo Yussuf Lule Ndikumana wa Mbao FC Alivyoaga Ukapera
Kiungo wa klabu ya Mbao FC ya Tanzania pia wa timu ya taifa Intamba Murugamba, Yussuf Lule Ndikumana maarufu kama Birhof amefanikiwa kuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake anaefahamika kwa jina la Zabibu Hassan.
Baada ya kuendelea kufanya vizuri na klabu yake Mbao FC, kiungo huyu mrundi alisaidia klabu yake kuitambia Yanga African kwa bao 2 bila kwenye Ligii Kuu Bara.
Ndoa hiyo ilifungwa Januari 04, 2018 nchini Burundi jijini Bujumburaa.
Tuwakumbushe kwamba kiungo huyu amewahi kuichezea klabu nyingi kama Savonor, Muzinga, Vital'o, pamoja na LLBs4A na kwasasa ni mali ya Mbao FC nchini Tanzania.
Post a Comment