MISHE-BOY

Newz | Big Fizzo katuletea ujio wa Bantou Boy record na Label yake

Mwanamuziki wa Burundi Fleva, Big Fizzo , ametangaza ujio wa studio mpya itakayo kuwa chini ya uongozi wake ikibeba jina la Bantou Boy Record.

Big Fizzo ambaye anaitikisa na kibao cha Urambabaza alitangaza habari hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kutaka kujua nani (Msanii au Producer) watakae anza naye kwenye studio hiyo.

Tazama Picha za Studio hiyo



Hakuna maoni